SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Pole sana.kipenzi changu, anataka kuniua
Hata ku comment sijui nianzie wapi. Au acha tu.Nimechoka saaana, mke wangu, mama watoto wamgu, kipenzi changu, anataka kuniua
Leo asubuhi amenipikia mtori na maziwa, nyama kilo moja, akanitengea yote kwenye poti moja kubwa, nikala kwa mbinde nikamaliza
Mchana huu amepika nyama nusu kilo amenikaangiana viazi ulaya, nimekula kwa mbinde nikamaliza
Nimekaa for two hrs analeta jagila juice, kwa mbinde nikamaliza
yN
Nyama zote zilikua nammafuta mengi mno, na anajua hali yangu, mimi ni mnene mno.
Hapa nimelala chali naemea juujuu tu...jioni amepanga anipe chips yai na kidari
Jamani ananiua huyuuu
First year washanunuliwa simu kubwaKwani likizo zimeshaanza?
Mkuu umegonga Cha wapi Leo! Ni kitu Cha Arusha au Cha Tarime?nimelala chali naemea juujuu tu...jioni amepanga anipe chips yai na kidari
Kazi kweli kweliFirst year washanunuliwa simu kubwa
NakupasuaLabda mchepuko unapalilia penzi,hakuna mke wa hivyo
Ukisikia maana halisi ya FREEDOM OF SPEECH π¬ NDIO HII SASA πππ€£π€£Nimechoka saaana, mke wangu, mama watoto wamgu, kipenzi changu, anataka kuniua
Leo asubuhi amenipikia mtori na maziwa, nyama kilo moja, akanitengea yote kwenye poti moja kubwa, nikala kwa mbinde nikamaliza
Mchana huu amepika nyama nusu kilo amenikaangiana viazi ulaya, nimekula kwa mbinde nikamaliza
Nimekaa for two hrs analeta jagila juice, kwa mbinde nikamaliza
yN
Nyama zote zilikua nammafuta mengi mno, na anajua hali yangu, mimi ni mnene mno.
Hapa nimelala chali naemea juujuu tu...jioni amepanga anipe chips yai na kidari
Jamani ananiua huyuuu
Darasa la saba wamemaliza mitihani juzi tu apoKwani likizo zimeshaanza?
NakupasuaKinachonichekesha unaweza kuta ww ni mtu mzima ambaye anaonekana serious ndani ya jamii lakn huku nyuma ya keyboard ndo unapost utumbo
Unasemaa?!?Duuh sikuweka bando nije kusoma mambo kama haya.
PoleNimechoka saaana, mke wangu, mama watoto wamgu, kipenzi changu, anataka kuniua