Msaada mke wangu anataka kuniua

Msaada mke wangu anataka kuniua

Nimechoka saaana, mke wangu, mama watoto wamgu, kipenzi changu, anataka kuniua

Leo asubuhi amenipikia mtori na maziwa, nyama kilo moja, akanitengea yote kwenye poti moja kubwa, nikala kwa mbinde nikamaliza

Mchana huu amepika nyama nusu kilo amenikaangiana viazi ulaya, nimekula kwa mbinde nikamaliza

Nimekaa for two hrs analeta jagila juice, kwa mbinde nikamaliza
yN

Nyama zote zilikua nammafuta mengi mno, na anajua hali yangu, mimi ni mnene mno.

Hapa nimelala chali naemea juujuu tu...jioni amepanga anipe chips yai na kidari

Jamani ananiua huyuuu
Hata ku comment sijui nianzie wapi. Au acha tu.
 
Ukisikia maana halisi ya FREEDOM OF SPEECH 💬 NDIO HII SASA 😂😂🤣🤣
 
Chai
 
Attachments

  • downloadfile.gif
    downloadfile.gif
    4.5 MB · Views: 3
Usijali, hata hiyo chips yai kiadi utaipiga kwa mbindee hivyo hivyo mpaka umalize 😂😂
Nimecheka sana
 
Nimechoka saaana, mke wangu, mama watoto wamgu, kipenzi changu, anataka kuniua

Leo asubuhi amenipikia mtori na maziwa, nyama kilo moja, akanitengea yote kwenye poti moja kubwa, nikala kwa mbinde nikamaliza

Mchana huu amepika nyama nusu kilo amenikaangiana viazi ulaya, nimekula kwa mbinde nikamaliza

Nimekaa for two hrs analeta jagila juice, kwa mbinde nikamaliza
yN

Nyama zote zilikua nammafuta mengi mno, na anajua hali yangu, mimi ni mnene mno.

Hapa nimelala chali naemea juujuu tu...jioni amepanga anipe chips yai na kidari

Jamani ananiua huyuuu
Pole
 
Back
Top Bottom