Msaada: Mke wangu anatokwa na majimaji ukeni pia tumbo la uzazi linamuuma

Msaada: Mke wangu anatokwa na majimaji ukeni pia tumbo la uzazi linamuuma

KUNDULE

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
318
Reaction score
177
Habari zenu wandugu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu hili tatizo lilimpata kipindi fulani akiwa mjamzito ikasababisha mimba kutoka sasa naona limerudi tena nini inaweza kuwa tatizo naombeni msaada wenu wa mawazo.
 
Pole sana nenda hospitali utapata majibu mazuri
 
Yaani Fanya Faster Ukamuone Daktari Kwa Gharama Yoyote hile.
 
wizara ya afya ina wajibu wa kuhakikisha elimu ya jinsi ya kujieleza kwa daktari inamfikia kila mtanzania..
maelezo machache hivyo hayawezi kusaidia kujua tatizo. niungane na wengine kuwa nenda hospitali
 
Back
Top Bottom