Barackachess
Senior Member
- Sep 1, 2018
- 156
- 122
Za kawaida tu ndugu yangu.....Sio kua staili mnayofanya si rafiki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mnatumia mtindo gani tuanzie hapo kujua tatizo, kama hutojali jaribu kubadilisha badilisha mitindo ingawa uwe makini usije ukatuhumiwa kuwa una mchepuko anaekufundisha manjonjo hayo au madoido.Habari wana JF.
NINI KINASABABISHA MWANAMKE KUUMIA HASA MGUU WA KUSHOTO MARA BAADA YA KUMALIZA TENDO LA NDOA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtindo ni ile ile ya kawaida ambayo ume hauiingii kwa kukandaniza kuta zake.Mnatumia mtindo gani tuanzie hapo kujua tatizo, kama hutojali jaribu kubadilisha badilisha mitindo ingawa uwe makini usije ukatuhumiwa kuwa una mchepuko anaekufundisha manjonjo hayo au madoido.
Shukran mkuu.Una uzito uliozidi halafu unamuachia kitambi chote kimfinye kiuno, thrusting harder. Acha kutumia kifo cha mende mkuu!!! Kwa uzito wako na kitambi piga doggy style!
Una uzito uliozidi halafu unamuachia kitambi chote kimfinye kiuno, thrusting harder. Acha kutumia kifo cha mende mkuu!!! Kwa uzito wako na kitambi piga doggy style!
Hana mimba , Tumeenda hospital wamempa dawa lakini hazijasaidia, Anafurahia tendo ila baada ya tendo ni maumivu makali
Mara nyingi ni ttizo la hip, inawezekana athitaji hip replacement yemenikuta na ikbidi ende india sasa mambo poaHabari wana JF.
NINI KINASABABISHA MWANAMKE KUUMIA HASA MGUU WA KUSHOTO MARA BAADA YA KUMALIZA TENDO LA NDOA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF.
NINI KINASABABISHA MWANAMKE KUUMIA HASA MGUU WA KUSHOTO MARA BAADA YA KUMALIZA TENDO LA NDOA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inakuwaje boss, Nipe maelezo zaidiMara nyingi ni ttizo la hip, inawezekana athitaji hip replacement yemenikuta na ikbidi ende india sasa mambo poa
ShukranNi hizo style zako za kubanjuana wakati Hana mazoezi. Acha kuiga mikao nenda nae taratibu