Msaada mke wangu anaumia mguu baada ya kufanya mapenzi

Habari wana JF.
NINI KINASABABISHA MWANAMKE KUUMIA HASA MGUU WA KUSHOTO MARA BAADA YA KUMALIZA TENDO LA NDOA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatumia mtindo gani tuanzie hapo kujua tatizo, kama hutojali jaribu kubadilisha badilisha mitindo ingawa uwe makini usije ukatuhumiwa kuwa una mchepuko anaekufundisha manjonjo hayo au madoido.
 
Mtindo ni ile ile ya kawaida ambayo ume hauiingii kwa kukandaniza kuta zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uzito uliozidi halafu unamuachia kitambi chote kimfinye kiuno, thrusting harder. Acha kutumia kifo cha mende mkuu!!! Kwa uzito wako na kitambi piga doggy style!
 
😂😂😂😂😂😂

Back
Top Bottom