Msaada mke wangu anaumia mguu baada ya kufanya mapenzi

Hii inakuwaje boss, Nipe maelezo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kiungo cha nyonga kinakuwa kimesagika kwa chini, kwa hiyo movemet ya sex inahitaji movement ya kiuno na inamletea maumivu , hii imenikuta kama miaka 8 iliyopita , india hata muhimbili wanakata mfupa wa chini wa kiungio na kuweka chuma, unampa miezi minne , recovery mambo fresh , lakini lazima apite kidogo na physiotherapy n kuhakikisha hanenepi sana kwani anaweza athiri mguu wa pilo, ajaribu kukutumia picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…