sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,019
Ni kiungo cha nyonga kinakuwa kimesagika kwa chini, kwa hiyo movemet ya sex inahitaji movement ya kiuno na inamletea maumivu , hii imenikuta kama miaka 8 iliyopita , india hata muhimbili wanakata mfupa wa chini wa kiungio na kuweka chuma, unampa miezi minne , recovery mambo fresh , lakini lazima apite kidogo na physiotherapy n kuhakikisha hanenepi sana kwani anaweza athiri mguu wa pilo, ajaribu kukutumia picha