MSAADA: Mke wangu anaupungufu wa nguvu za kike

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Mambo yasiwe mengi niingie kwenye mada, mke wangu anatatizo la upungufu wa nguvu za kike (yaani ni flat screen) naomba msaada ni dawa gani atumie ili kuongeza nguvu za kike ambayo haina madhara kiafya. Nitashukuru sana nikipata msaada wenu, siombi ya matibabu naomba kujua jina la dawa tuu
 
Kwa nn ulimuoa ili hali unapenda kichuguu

[emoji375][emoji375]
 
Mkuu unafikiri yakishakuwa makubwa utakuwa unayaona peke ako
 

Ni mkeo wa ndoa au mke wa mazowea tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…