Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

Inaonekana wewe uko serious sana na mkeo.jifunze kubehave kwa mkeo kama huyo shemeji yake.
 
Dawa yake ndogo sana, tafuta hawala ili ajiulize unaponea wapi[emoji1]
 
Dogo kasha mkojoleshaaaaa!

wewe una zingua zingua tu, FUKUZA WOTE

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Tafuta hela mkuu usiwazie sana kuchapiwa,kumbuka hapa duniani hakuna cha kwako pekeako,kitu cha kwako pekee ni kaburi lako tu haya mengine utashilikiana na wenzako tu.
 
Mwondoe huyo mtoto wa mjomba. Mwondoe kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…