Msaada: Mke wangu kajifungua miezi 3 iliyopita lakini damu ya uzazi bado inatoka

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Habari wataalam wa Afya.
Naomba kusaidiwa hili tatizo,mke wangu alijifungua toka mwezi wa 10 mwanzoni,cha kushangaza damu ilikata halafu ikarudi tena kubleed.
Damu inatoka kila akifanya kazi yoyote ya kuinama au kukaa kwa muda mrefu.
Tatizo ni nini waku?
Hatujawahi kushiriki tendo lolote la ndoa
 
Pole sana mkuu

Sina utalama na hayo mambo kabisa ngoja watalam waje
 
Hakuna hospital maeneo unayoishi? Au umetaka uonekane umeandika jf huko ukimdhalilisha mkeo!!
 
Wengine wanafanya mazoezi ya kurudi aha tumbo wakati hawajapona vizuri but muone daktari
 
Wengine wanafanya mazoezi ya kurudi aha tumbo wakati hawajapona vizuri but muone daktari
Hafanyi mazoezi ya aina yoyote alikua anatumia njia ya asili tu ya kufunga nguo tumbo.Damu inatoka akifanya kazi km ya kufua au akisafiri kwenye gari...damu inarudi tena
 
Hafanyi mazoezi ya aina yoyote alikua anatumia njia ya asili tu ya kufunga nguo tumbo.Damu inatoka akifanya kazi km ya kufua au akisafiri kwenye gari...damu inarudi tena
Kwa wengi damu hukauka baada ya wiki sita, wiki 12 ni muda mrefu muone daktari.
 
MUWAHISHE HOSPITALI HARAKA KAMA UPO MJINI MPELEKE HOSPITALI YOYOTE YA SERIKALI YA WILAYA AU MKOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…