Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Bro kwanza pole sana. Tukiongea kiume na kifupi mapenzi yamekuwa adimu sana mwanangu, pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye vitu vingine, kama unapenda magari tafuta, kama ni kutoka na masela wekeza huko, karne tunayo ishi ukikimbizana na mapenzi utakufa na magonjwa ya moyo hawa viumbe hawajui wanataka nini tena!!!. Kama utaendelea kuona huyo ndio furaha yako maisha yako yatakuwa ya mateso hapa duniani. Na malizia tafuta furaha yako na amani yako kwenye vitu vingine. Naongea toka kwenye experience love is not easy bro but ukijitafuta ukajipata mbona hayo mambo yata kuwa tambarare tu. One love bro get well soon.🫵🏽
 
Wanawake ni complex creatures, hawampendi mtu anayemjali sana Bali huyo aliyekua anamnyanyasa
Moto, yaani ukimpelekea moto kisawasawa hata umdunde migumi ya macho lakini lazima kesho akufate.
Mtoa mada naona anataka kumuoa mke wa mtu.
 
Mkuu don't be scared of women and dating, more important don't rush into relationship/marriage just because umri umeenda na unaona wenzako wana miji yao.

These two (kutaka haraka kuwa na ndoa na pia kuwa muoga wa wanawake) ndio kumefanya umekuwa stuck. Toka kwenye huu uhusiano, utakusumbua tu kwanza huyo mwanamke yuko toxic.

Mentally unstable hizi insecurities zake zita appear more often na kukuacha confused mara kwa mara,you don't want that.

Be free from this relationship and experiment more with women, you will find love and be happy again, good luck.
 
Nifanye Nini Nataka Kumuoa Lakini Bado Anawasiliana Na X Wake?

Ntamani kujua zaidi hasa kusikia kwa wanawake, mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila nina mpenzi wangu ambaye niko naye kwenye mahusiano kwa miaka minne sasa. Wakati nakutana na huyu Dada alikua ametoka kwenye ndoa yake, mwanaume wake alikua ni mtu wa kumnyanyasa sana...
Unataka kuoa mke wa mtu. Usitarajie hali hizi zitabadirika ndani ya ndoa mkuu hakuna muujiza huo. Unayoyaona sasa ni machache ya yajajo ndani ya ndoa.

Usioe huyo mwanamke bwana mdogo
 
Nimerudi sasa hiyo ni kweli kabisa wanawake wanapenda majitu magomvi,malevi mavuta bhangi ukiwa katekista itakula kwako...nimeielewa hii nakazia zaidi.
Kuna kitabu kinaitwa HOW TO MAKE WOMEN CHASE YOU,.. Kuna sehemu kinasema WOMEN LIKE REAL MEN ALPHA MALES na pengne panasema NICE GUYS FINISH LAST IF THEY EVER FINISH AT ALL....
 
Back
Top Bottom