Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

Mpaka sasa hivi badon hawajaelewana, nimeona meseji na sijui chakufanya namuuliza hanipi jibu ananiambia nifanye maamuzi mwenyewe, nimechanganyikiwa hata sijui nifanye nini?
Ni ngumu sana kutenganisha kati ya kinachokupa furaha na kile ukipendacho. Hapo ndio inakuja tofauti kati ya mtu mzima na kijana.

Sasa unaingia utu uzima fanya maamuzi sahihi kijana.
 
Tumia akili usitumie hisia kuamua, hakupendi wewe, hata ukiforce kuishi naye atakusumbua Tu, mwanamke ana watoto wawili anakusumbuaje, Mimi hat nisingeomba ushauri
 
Kwa kuwa unautaka mwanamke wa kuoa, Tafuta wapo wengi Sana. Huyo sio wako. Tayari ana wa kwake na alishatendwa despite yote aliyoyapitia kwa baba watoto wake bado ni Mwanaume sahihi kwake na sio WEWE.
 
Nice man Natafuta Ajira njoo umshauri kijana wako huku.
 
Unataka uone nini kingine ili ujue kwamba haupendwi? Sasa wewe shupaza shingo, muoe af akupige hayo matukio akiwa mke uone venye inauma.
 
Pole na tafuta mwingine huyo ni mgonjwa wa akili atakupasua Kichwa.... run
 
White knight, Beta Chump!

Sio jukumu lako kumbadili au kumponya mwanamke. Wekeza kwa mwanamke ready made
 
Wanawake ni complex creatures, hawampendi mtu anayemjali sana Bali huyo aliyekua anamnyanyasa
Wanasema until utakapo yapitia ndio utaelewa why, nadhan huyu bwana yupo kwenye hiko kipind. After this sidhan kama atakuwa anawaona wanawake in same view again
 
Ishi nae usi harakishe ndoa coz mwanaume hana haraka na ndoa muache yeye aseme anataka Nini alafua wewe ndo uamue

NAKAZIA
MUACHE ASEME ANATAKA NNI ALAFU WWE NDO UAMUE USIHARAKISHE NDOA
 
First of all si mke wako, bado hajamove on na bado anawasiliana na x wake. Itakuletea matatizo makubwa from uzoefu wangu

Brother sepa usimsumbue wala usipige simu kwao, ndugu zako wanakupa presha lakin wasisababishe ukaingia kwenye agano la mateso

Achana nae for your own life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…