Msaada: Mkopo unahitajika haraka sana

Msaada: Mkopo unahitajika haraka sana

Cha Kwanza gari unayotaka nipa kadi iko wapi?
nani anaimiliki?
Ina hali gan?
then nipajue mpaka unapokaa!unafanya shughuli gan?
Ukinijibu haya!
Mwisho kabisa nitataka niione gari!na Uiache kwangu pamoja na kadi Original na ninakupa milioni 6 baada ya mwaka mmoja uwe umeirudisha hela!Tunaandikishana sitakuchaji riba yoyote
Mbona umefunga pm yako
 
Back
Top Bottom