Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Yahusu kupotea kwa cheti jana nilikuwa natoka mhonda nilippanda gari la bm nikashukia kihonda magorofani,kwa iyo huenda nilishuka nacho nikadondosha au nilisahau kwenye gari,jamani naomba ambaye amekiokota au kunihifadhia anisaidie nikipate,jina langu la mwisho la hicho cheti ni malisa, nimepoteza jana tarehe 1/7/2013:
Mwenye kunisaidia jinsi ya kupata au anacho naomba ani pm au anitumie ujumbe wa meseji kupitia
0754868040
Pole sana,,.....
Cha chuo