Msaada mkuu:nimepotesa cheti changu morogoro kihonda na basi la bm

Msaada mkuu:nimepotesa cheti changu morogoro kihonda na basi la bm

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Yahusu kupotea kwa cheti cha chuo jana nilikuwa natoka mhonda nilippanda gari la bm nikashukia kihonda magorofani,kwa iyo huenda nilishuka nacho nikadondosha au nilisahau kwenye gari,jamani naomba ambaye amekiokota au kunihifadhia anisaidie nikipate,jina langu la mwisho la hicho cheti ni malisa, nimepoteza jana tarehe 1/7/2013:
Mwenye kunisaidia jinsi ya kupata au anacho naomba ani pm au anitumie ujumbe wa meseji kupitia
0754868040
 
Yahusu kupotea kwa cheti jana nilikuwa natoka mhonda nilippanda gari la bm nikashukia kihonda magorofani,kwa iyo huenda nilishuka nacho nikadondosha au nilisahau kwenye gari,jamani naomba ambaye amekiokota au kunihifadhia anisaidie nikipate,jina langu la mwisho la hicho cheti ni malisa, nimepoteza jana tarehe 1/7/2013:
Mwenye kunisaidia jinsi ya kupata au anacho naomba ani pm au anitumie ujumbe wa meseji kupitia
0754868040

Pole, ingawa hujawa wazi kiasi cha kutosha. Cheti cha hosipitali? Shule? Chuo?
 

weka jina kamili , then ujumbe huu upeleke na FB na Twitter, ili wadau wote wapate Message. mimi nilipoteza changu , lakini nilikuwa sijagundua kama nilipoteza ,aliyekiokota akanitafuta kupitia Fb, akanitumia sms basi tukonana akanipa , so nakushauri na wewe ufanye hivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom