Yap hili nalo neno.Gari kuoshwa kwa siku ni 2,000 kwa mwaka kulindwa kwa usiku tu ni 2,000 kwa mwaka una siku 365 jumla ukilipa ni 730,000/= wakati nikilipa bima ni kama laki tatu hadi nne premium ya mwaka mzima bora nini!
Kila kitu kina mkataba kama anao mkataba unaomuambia umlipe hiyo pesa mpe...
Ila kiubinadamu kama amekulinda kwa miaka hiyo kiungwana mpe naye ajione mtu.... Pengine uhai wako Mwenyezi Mungu alilinda kupitia huyo jamaa...
Mimi siku hizi mali zangu nazikatia Bima tu nalipa once kwa Mwaka Gari linakaa nje tu mtaani likiibiwa naenda dai bima... Nyumba vile vile... nilipiga hesabu nikaona bima ndio muafaka... kama wezi wa kutoa roho siku ikifika imefika tu roho itatoka hata kukiwa na walinzi tena walinzi wetu ukipita wamelala hadi uwaamishe wewe... lol
Gari kuoshwa kwa siku ni 2,000 kwa mwaka kulindwa kwa usiku tu ni 2,000 kwa mwaka una siku 365 jumla ukilipa ni 730,000/= wakati nikilipa bima ni kama laki tatu hadi nne premium ya mwaka mzima bora nini! na walinzi wetu ukiibiwa hawakulipi... wanakuomba msamaha tu... tena unakuta ni kibabu haswa ukikipiga kibao kimoja hakiamki
asanteni kwa ushauri Nimemalizana naye nimemlipa tsh 347,000/= baada ya kwenda Chodawu na kunipa formula tena nimempa na mishahara ya hadi januari mwakani kwa kumsaidia. Kwa mazingira haya kisheria sikupaswa kumlipa hata senti moja kwakuwa yeye ndo kavunja mkataba ila kiubinaadam nimetumia formula hiyo kumlipa kama vile mimi ndo nimemuachisha kazi.
Yap hili nalo neno.
Back to Topic
- Kaa naye huyo mlinzi, mzungumze mtafikia muafaka. Ila miaka 20 ni kipindi kirefu. Mil 5 ni kiasi kidogo waweza msaidia (kiubinaadam zaidi) ili hata kesho na kesho kutwa aweze kukukumbuka.
We kilaza wa sheria nn hujasikia maprofesori chuo mshahara mil 3 wanastaafu na kiinua mgongo cha mil 4 sembuse huyu mshahara wake ulikuwa sh 45,000/= tena nimefanya uungwana kumlipa maana hakupaswa kupokea hata sentiMiaka 20 unamlipa laki3 tu? Kweli sometime law is an ass.