Msaada mnacho secondary-ruangwa, lindi.

Poleni sana watu wa Mnacho na wanafunzi kwa ujumla kwa janga hilo. Hata hivyo, suala hili ajulishwe Mbunge wenu Mh. Majaliwa ambaye pia ni Naibu Waziri pamoja na juhudi zanu wananchi kutatua kadhia hiyo. Mbunge wenu, Halmashauri hawajaliona hilo?Mbunge anapewa fedha za Jimbo na Halmashauri wanakusanya ushuru wa mazao yenu ya korosho na ufuta kwanini wasijenge hiyo shule mara moja ili wanafunzi wasome vizuri! Matokeo ya 2011 ni kama janga ki wilaya na mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…