Msaada mnacho secondary-ruangwa, lindi.

Msaada mnacho secondary-ruangwa, lindi.

Shule ya sekondari mnacho iliyopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi, inahitaji msaada wa haraka ili kuwasaidia wanafunzi wanaosoma kwa shifti kutokana na balaa la kimbuga kilichoikumba shule hiyo tarehe 10 feb 2012, pia nyumba moja ya mwalimu nayo iliezuluwa na kimbuga hicho...

View attachment 47164 View attachment 47165 View attachment 47166

naomba kuwasilisha...
Poleni sana watu wa Mnacho na wanafunzi kwa ujumla kwa janga hilo. Hata hivyo, suala hili ajulishwe Mbunge wenu Mh. Majaliwa ambaye pia ni Naibu Waziri pamoja na juhudi zanu wananchi kutatua kadhia hiyo. Mbunge wenu, Halmashauri hawajaliona hilo?Mbunge anapewa fedha za Jimbo na Halmashauri wanakusanya ushuru wa mazao yenu ya korosho na ufuta kwanini wasijenge hiyo shule mara moja ili wanafunzi wasome vizuri! Matokeo ya 2011 ni kama janga ki wilaya na mkoa.
 
Back
Top Bottom