Msaada:mnafanyaje fanyaje kupata hela,Nifundisheni na mimi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu haya maisha bila kushikwa mkono na mtu akuchomeke kwenye system fulani ya mzunguko wa hela kwa kweli inakuwa ngumu Sana kuzikamata.ukisema ukomae Sana kivyako vyako utapata taabu sana utaishia TU kumulika mulika 2000,5000 ambavyo vinaishia kwenye kula Basi lakini hela ya maendeleo yako hupati,hujengi hata nyumba ukizubaa
Kwa hiyo wakuu Mimi nimekuja mbele yenu mnifundishe nyie mnafanyaje fanyaje kupata hii kitu inayoitwa pesa.
Hata Kama Ni mbinu haramu nyie niambieni Mimi nipo tayari kufanya chochote ilmradi kisiwe Cha hatari Sana mpaka kusababishia aidha kifo au kupeleka kufungwa jela.
Hata Kama Ni ushirikina upo wa kupiga hela nielekezeni usiwe tu wa kutoa kafara uwe uchawi wa kawaida hata Kama Ni kutembea na li jini mfukoni nipo tayari kutembea nalo au Kama Kuna mission ipo ya kumwibia tajiri mahela niambie Ila huyo tajiri uwe na uhakika Hana pisto au bunduki.
 
inaonekana kijana umechoka kufikiri.
tatizo vijana mkisa8diwa mkipata tu kidogo maanza dharau.

tambua maisha ni kupambana si kulala na kuamka tajiri.
naomba details zako
unajishughulisha na nini, elim yko, umeoa nk
 
Kuvaa nguo za ccm nuksi tosha badilisha upepo.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wakuu haya maisha bila kushikwa mkono na mtu akuchomeke kwenye system fulani ya mzunguko wa hela kwa kweli inakuwa ngumu Sana kuzikamata.ukisema ukomae Sana kivyako vyako utapata taabu sana utaishia TU kumulika mulika 2000,5000 ambavyo vinaishia kwenye kula Basi lakini hela ya maendeleo yako hupati,hujengi hata nyumba ukizubaa
Kwa hiyo wakuu Mimi nimekuja mbele yenu mnifundishe nyie mnafanyaje fanyaje kupata hii kitu inayoitwa pesa.
Hata Kama Ni mbinu haramu nyie niambieni Mimi nipo tayari kufanya chochote ilmradi kisiwe Cha hatari Sana mpaka kusababishia aidha kifo au kupeleka kufungwa jela.
Hata Kama Ni ushirikina upo wa kupiga hela nielekezeni usiwe tu wa kutoa kafara uwe uchawi wa kawaida hata Kama Ni kutembea na li jini mfukoni nipo tayari kutembea nalo au Kama Kuna mission ipo ya kumwibia tajiri mahela niambie Ila huyo tajiri uwe na uhakika Hana pisto au bunduki.
Read Pablo Escobar's story. Hope will be of great help to you and, therefore, you will be able to know how real men struggle.
 
Dah kwa lile gheto lako ulilopost bila shaka unapitia kipindi kigumu sana.

Ushauri: Mtafute polepole maeneo ya Lumumba nafikiri atakusaidia kuingia kwenye system maana umekua ni kada mtiifu sana sidhani kama anaweza kukutolea nje. Make sure umeenda na simu yako huku ukimuonyesha thread zako pamoja na coment zako humu jamvini unavyokipigania chama.
 
Back
Top Bottom