Msaada model gani ya Scania Mende ni nzuri?

Msaada model gani ya Scania Mende ni nzuri?

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,222
Reaction score
1,425
Habari za jioni wakuu,

Nilikua naomba ushauri kuhusu model gani nzuri ya scania mende kwa matumizi ya kazi za ujenzi kama kubeba kifusi, kokoto na mchanga.. nimekua nikitumia scania 114 - 340 kwa miaka kama 8 sasa ni nzuri na haijanisumbua. Nina uhitaji wa kuagiza ingine. Lakini matoleo ya 114 yaliishia around miaka ya 2004.

Ukiagiza 114 kwa sasa gari inakuja imechoka sana. Imetembea zaidi ya kilomita laki 8... nilikua naomba ushauri ni model zipi nzuri za kuanzia walau 2010 na kuendelea ili isiwe imetumika sana.

Natanguliza shukrani za dhati
 
Back
Top Bottom