Msaada: Mpangaji mwenzangu ni mchawi

ko unahisi kama huyo mchawi humuwezi au?
 
Umeonaje kama hilizi yke inapumua? We pia mchawi
 
NA WW MCHAWI kwani nijuavyo MIMI kama si MCHAWI huwezi Kumuona Mchawi.HONGERA Kwa kumuona MCHAWI.
 
Saa 8 usiku utoke nje ghalfa ulikuwa unakwenda wapi... sema mmegongana... wote wale wale..
 
Usihame mkuu uyo mchawi ukikutananae chapa fimbo nyingi sanaaa
 
Huyu ndugu yake na mtanesco
 
Mmh ulipata wapi ujasiri wa kuchunguza alivyovishika .. 🤔 chai yenye kichuri hii
 

99.9% ya wachawi wanajificha kwenye Dini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…