Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 594
Hii story ni chai ambayo haijaiva.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndugu yake na mtanescoWakuu naishi kota za kupanga hapa Changombe, upande ninaokaa kuna jirani yangu chumba cha jirani ni mama mtu mzima hivi ni mshika dini sana sana.
Cha ajabu juzi nimeamka saa 8 usiku na kutoka nje ghafla nikamkuta mama huyo akiwa juu ya bati uchi wa mnyama huku kashika ngozi ya fisi na kibuyu alikua kajipaka masizi na kavaa hirizi iliyokua inapumua.
Aliponiona akageuka paka na kupotea.Nataka kuhama hapa.
Wakuu naishi kota za kupanga hapa Changombe, upande ninaokaa kuna jirani yangu chumba cha jirani ni mama mtu mzima hivi ni mshika dini sana sana.