MSAADA: Mpenzi wangu ananisachi!

Aaaah! Huyo Dada anayake,.
Ila zaid n kuwa hakuamin, kama anasearch mifuko ya surual, simu si ndo itakuwa balaa?..
Haamin chochote unachomwambia,
so be careful aisee
 
kaka muwekee kiwembe akiingiza tu anakutana nacho ataacha mchezo wake tena mpyaaaaaaa
 
mwizi huyo na tabia hiyo itaendelea na iko siku atakutia aibu kwa wengine
 
nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....

avatar yako na maneno yako salesale
 
unashindwa kumchana live kwamba hupendi hiyo tabia?...na kama ushamwambia afu askii hilo toto jeuri kazi unayo
 
nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....
T

Teh teh teh umenichekesha mpaka basi, atoe taarifa polisi mwe! hii nayo kali
 
Wasiwasi wako nini??? mwache asachi muhimu asikuibie.
Au mtege uache pesa alafu baada ya muda uangalie je?? ziko sawa, ukikuta zimepungua basi ana tabia ya udokozi, ukikuta ziko sawa basi ni hulka yake.
 
We m2 mzima fanya majaribio ya kimyakimya weka kiasi kidogo cha pesa mfukoni then uiache kama kawaida kwa makusudi kama mdokozi utagundua tu then u ll have the ans 4 such habit
 
Mkuu, plz b clear and certainly. Kwani anavyomaliza kusach kuna v2 huwa huvioni tena. Prove if....
 
Mweleze kuwa hiyo tabia haikupendezi kwakuwa hamna sababu ya kukusachi. Mwambie kuwa anakukera kwa hiyo tabia.
Akiendelea nayo, hapo lazma uhamie plan c.
 
kaa nae umuulize sababu za kukusachi isije ikawa ana nia na dhamira iliyo sahihi na isiyo eleweka
 
kwani wewe una wasiwasi gani akikusachi? ni kweli kila kitu ni chake na lazima awe na wivu wa mali yake. tena shukuru sana manake anakuweka on toes usije ukamisbahave. kaka unajua mwanamke ndo huijenga nyumba yake mwenyewe na asipotumia mbinu kalikali basi chelewa chelewa itampata mwana si wake. nampongeza huyo dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…