Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,254
- 2,121
simpo! nendanae bafuniSijafanikiwa kuishi nae chumba kimoja ila huwa tunakutana kwenye lodge, sasa yeye nikiingia bafuni tu kosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simpo! nendanae bafuniSijafanikiwa kuishi nae chumba kimoja ila huwa tunakutana kwenye lodge, sasa yeye nikiingia bafuni tu kosa.
Huyo ni mwizi, usipomstukia mapema kuna siku atakuliza huyoSijafanikiwa kuishi nae chumba kimoja ila huwa tunakutana kwenye lodge, sasa yeye nikiingia bafuni tu kosa.
nafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....
Tnafikiri alisha wahi kua mwizi...au anatokea kwenye familia za kifisadi...nakushauri toa taarifa mapema kwenye kituo cha polisi kilicho karibu nawe....