matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Jan 13, 2012 #81 Wanawake wa kimachame ndio zao.
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,628 Reaction score 3,535 Jan 13, 2012 #82 Awe na mipaka, si vizuri...atakuja kukuambia kazi yako ana uhuru nayo...weka wazi kuwa hupendi na tabia hiyo aache.
Awe na mipaka, si vizuri...atakuja kukuambia kazi yako ana uhuru nayo...weka wazi kuwa hupendi na tabia hiyo aache.
G G.JUMA Senior Member Joined Dec 12, 2011 Posts 111 Reaction score 17 Jan 13, 2012 #83 Take care coz ana weza kukuchezesha game ukakuna kipara kwa mawazo coz kwanin mpaka umuachie mwanya ndo ana kusach? nahic anakusomea raman.
Take care coz ana weza kukuchezesha game ukakuna kipara kwa mawazo coz kwanin mpaka umuachie mwanya ndo ana kusach? nahic anakusomea raman.