Kwasababu UTOTO NI RAHA SANA,Kwann
Watoto wa miaka ya 2005 wana shida sana wanahisiw atu hawana kazi muda wote na masimu.Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii mgahawan linapiga yaaan full call naweza zuia video yake isiingie kwangu mm naona ksnunua smart phone mwaka 2024 mwezi huu linapenda sana video shamba mnoo msaada wadau
Huna akili wwIko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii mgahawan linapiga yaaan full call naweza zuia video yake isiingie kwangu mm naona ksnunua smart phone mwaka 2024 mwezi huu linapenda sana video shamba mnoo msaada wadau
Usimwambie hvyo mkuu,coz mwenyewe anaona ameandika bonge la thread,ila kwakwel kuna vitu vinashangaza.Hata uandishi wako ni wa kishamba pia, ila tu hujioni
Huna kazi ya kufanya subiri ugonge 30Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii mgahawan linapiga yaaan full call naweza zuia video yake isiingie kwangu mm naona ksnunua smart phone mwaka 2024 mwezi huu linapenda sana video shamba mnoo msaada wadau