MSAADA: Mpenzi wangu anatoa harufu sehemu za siri

MSAADA: Mpenzi wangu anatoa harufu sehemu za siri

Mwanamke hawezikupata hili tatizo kama sio malaya yaan anajihusisha na multiple partners bila kinga
 
Nimeaanzisha uhusiano na mschana last week, na tumesha yajenga maramoja, and nimemfurahia at 360degree, ila tu kuna kasoro moja. Ananuka K tatizo ambalo naamini sio kubwa na linatibika. Ninachowaomba mnisaidie ni dawa gani nimnunulie ili iondoe hili tatizo alilonalo, bado halijawa kubwa maana harufu naisikia kwa mbaliiiiii na kama hauko makini hauwezijua. Nlimwambia tu next time tukikutana nakuja na dawa ila sijamwambia anaumwa nn maana ni vigumu sana kulisema.
NI MARA NGAPI UMEISIKIA HARUFU HIYO
 
**** yoyote inanuka. Mwanamke.yoyote hapa aende akaioshe alafu ajiingize kidole aisikilizie.
Kama ikitoka kuoga tu inanuka sembuse ikigongwa. Sio ugonjwa huo ni alufu ya kawaida tu
 
Mi ktk suala ambalo siwezi kuvumilia hata kwa sekunde ni haruku mbaya ya K,

Kiukweli sinaga uvumilivu ktk hili.
 
**** yoyote inanuka. Mwanamke.yoyote hapa aende akaioshe alafu ajiingize kidole aisikilizie.
Kama ikitoka kuoga tu inanuka sembuse ikigongwa. Sio ugonjwa huo ni alufu ya kawaida tu
K hainuki bali inanukia, mi ile harufu sio siri huwa naipenda. Ila kuna wengine zinanuka, but kwa wenye Ph 7.0 huwa safi sana
 
Back
Top Bottom