Msaada mpenzi wangu hana time sana kunitafuta kama zamani

mimi20

Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
14
Reaction score
25
Kipindi cha nyuma mawasiliano haipiti siku bila kukutafuta zaidi ya mara tano au sita yaani asubuhi, mchana, jioni na usiku mtaongea mpka unachoka lakini saivi ni morning greetings atakucheki na usiku kabla ya kulala atanicheki kunisalimia na kunitakia Gu9t

Lakini nikimpigia simu ikikata hanipigi mpka nijiunge tena nimpigie tofauti na zamani salio langu lilikata basi huyo ananipigia simu anaongea na mimi,

Siku ikitokea anakutafuta ile sana basi baada ya mida tukishamaliza kuongea atanipiga kizinga cha vocha au hela ya kula

Nifanye nini ndugu wana jf nashidwa kuelewa mchumba hana time sana na mimi siku hizi nifanye nini ili kumfikishia ujumbe mpenzi wangu ujumbe aelewe kuwa amebadilika naumia anavyojiweka mbali na mimi
 
Achana naye
 
Ukiona mawasiliano yameanza kupungua taratibu tofauti na mwanzoni tambua ya kwamba mpenzi wako ameshakuweka kama kiporo muda wowote subili kumwagwa ninachokushauli tafuta mwanamke wa kucover hiyo nafasi haraka sana ili akusaidie uanze kumsahau taratibu uliyenae hivi sasa

Hivyo wakati ameanza mazoezi ya kukusahau na wewe anza mdogo mdogo ili siku na siku ukimwagwa akute kiporo kimeshavunda
 
Hapo tatizo ni libidos' naomba uzipunguze
 
daah hpo una chako mzee wee jiandae cku akuambie tuachane nimeamua kuw single, mwixh wa cku unackia ana mwengn
 
Wew ni Me au Ke ? Tuanzie hapo kwanza
 
Mkuu popote ulipo tambua haupo pekeyako hata kwangu ilinitokea mwaka jana tangu huu ulivoingia simtafuti na wala yeye hanitafuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…