Msaada mpenzi wangu hana time sana kunitafuta kama zamani

Msaada mpenzi wangu hana time sana kunitafuta kama zamani

Kipindi cha nyuma mawasiliano haipiti siku bila kukutafuta zaidi ya mara tano au sita yaani asubuhi, mchana, jioni na usiku mtaongea mpka unachoka lakini saivi ni morning greetings atakucheki na usiku kabla ya kulala atanicheki kunisalimia na kunitakia Gu9t

Lakini nikimpigia simu ikikata hanipigi mpka nijiunge tena nimpigie tofauti na zamani salio langu lilikata basi huyo ananipigia simu anaongea na mimi,

Siku ikitokea anakutafuta ile sana basi baada ya mida tukishamaliza kuongea atanipiga kizinga cha vocha au hela ya kula

Nifanye nini ndugu wana jf nashidwa kuelewa mchumba hana time sana na mimi siku hizi nifanye nini ili kumfikishia ujumbe mpenzi wangu ujumbe aelewe kuwa amebadilika naumia anavyojiweka mbali na mimi
Hapo tayr kuna muuhuni anatikisa nyavu taaratibu
 
Ulizaliwa nae huyo?
Unapesa?

Hii stage lazima upitie, uachwe upate mbuzi nyingine ikuache pia akili ikikukaa sawa hautokuwa unahofia mtu akibadilika hivyo..
 
Mkuu kuna muda wa penzi jipya sasa unataka kila siku liwe penzi jipya.

Acha watu wafanye kazi si kila time mapenzi mapenzi!
 
Imagine umeshaachwa Zamani.... Ila unasubiria kuambiwa
 
Tafuta ela, kula vizuri ,pendeza kiwa busy na kazi zako tafta pisi kali endlea kula nayo bata kimtindo huku bado ukiwa nae taaratibu unajikuta umemsahau
 
Kuna dawa ya kupaka amakalio inaitw pumbule, itafute kwenye agroveti iliyo mkaribu nawe kampake, hatokuacha kamwe, kazi yetu sisini kuisaidia dunia na vyote vilivyomo ndani
 
Pole sana dalili ya Mvua ni Mawingu anza tu kujipanga upya kwa lolote litakalotokea.
 
Kuna dawa ya kupaka amakalio inaitw pumbule, itafute kwenye agroveti iliyo mkaribu nawe kampake, hatokuacha kamwe, kazi yetu sisini kuisaidia dunia na vyote vilivyomo ndani
Ya Kweli haya?
 
Pole Mkuu! Ila ukweli ni kwamba hapo huna chako tena, ni muhimu kumuwahi, tena wala usimwambie kitu, kaa kimya! Yaani ile kimyaa ziiiiiiiiiiiiiiiii., ndo unaachana nae kwa style hiyo.
 
Hiyo ni dalili ya kibuti anza kuzoea kumkosa, yaani ukiona manyoya kaliwa huyo
 
Back
Top Bottom