Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

Joined
Oct 19, 2023
Posts
74
Reaction score
73
Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha.

Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️).

Sikutaka kumchelewesha kama rijali,after one week nikaita mtoto home.
Chezea sana mwili mzima ila mwenzangu macho makavu sauti ya heche (natania ila ilikuwa sio ya mahaba).

Ikabidi nimuulize m wenzangu vipi mbona kimya upandishi mzuka ? Kwa
aibu nzito ananiambia nimpulize mwili mzima after there nimtekenye miguuni.

Naombeni msaada nifanyaje kwa binti huyu wa kinyaru?
Anaumwa? Au ni nini hasa?

Nimemkumbuka sana mke wangu(mama shumita)
 

Attachments

  • 20250211_203922.jpg
    20250211_203922.jpg
    46.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom