Msaada: Mrejesho Biashara Thailand

Ivi uwezi kupeleka pamba (malighafi) huko kwa wale wajuzi Wa biashara
Inawezekana lakini tatizo kubwa ni Quality na Quantity. Jiulize ni kwanini Apple za Njombe mtu anawekewa ndoo imejaa kwa 2,000 wakati huo huo Apple za South moja unauziwa moja kwa 2,000 ? na hata kama utajitahidi kulima kwa ubora lakini wanataka MATANI Kibao ambayo hakuna mkulima mwenye uwezo wa kuyazalisha kwa sasa
 
Hivi bidhaa kama saa au VIATU au SAA kwa TSH 100,000 Kwa kimoja vinauzika kweli ? Maana binafsi naona kama mtu kununua saa kwa gharama hiyo au kiatu ni kubwa ?
 
Hivi bidhaa kama saa au VIATU au SAA kwa TSH 100,000 Kwa kimoja vinauzika kweli ? Maana binafsi naona kama mtu kununua saa kwa gharama hiyo au kiatu ni kubwa ?
Biashara za hivyo uwe na corporate customers labda. Yani wale wafanyakazi na hasa wanaopenda uniquness hivyo utahitaji kujenga network ya watu wa hivyo na direct selling ndio mbinu nzuri ya kuhakikisha unarudisha pesa yako.
 
bht wengine umetuacha njia panda kidogo ungetuekea exchange rate ina value kias gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…