Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hujajua kutrade na Wachina.Vitu vya Thailand kama nguo ni very quality ukitofautisha na China
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajua kutrade na Wachina.Vitu vya Thailand kama nguo ni very quality ukitofautisha na China
Inawezekana lakini tatizo kubwa ni Quality na Quantity. Jiulize ni kwanini Apple za Njombe mtu anawekewa ndoo imejaa kwa 2,000 wakati huo huo Apple za South moja unauziwa moja kwa 2,000 ? na hata kama utajitahidi kulima kwa ubora lakini wanataka MATANI Kibao ambayo hakuna mkulima mwenye uwezo wa kuyazalisha kwa sasaIvi uwezi kupeleka pamba (malighafi) huko kwa wale wajuzi Wa biashara
Hivi bidhaa kama saa au VIATU au SAA kwa TSH 100,000 Kwa kimoja vinauzika kweli ? Maana binafsi naona kama mtu kununua saa kwa gharama hiyo au kiatu ni kubwa ?Mkuu cadet mzuri ya thai bongo si chini ya elfu 75/-Tshs , well utanunua lakini sokoni ukifika TZ wateja wanahitaji bei ya 35/-Tshs kushuka chini ikibidi hadi 25/-Tshs na io bei ya cadet kwa 12 bongo na imetoka thai ujue uyo alifunga kontena kiwandani moja kwa moja lkn mtaani kwa bei io ilo lonya
Biashara za hivyo uwe na corporate customers labda. Yani wale wafanyakazi na hasa wanaopenda uniquness hivyo utahitaji kujenga network ya watu wa hivyo na direct selling ndio mbinu nzuri ya kuhakikisha unarudisha pesa yako.Hivi bidhaa kama saa au VIATU au SAA kwa TSH 100,000 Kwa kimoja vinauzika kweli ? Maana binafsi naona kama mtu kununua saa kwa gharama hiyo au kiatu ni kubwa ?
bht wengine umetuacha njia panda kidogo ungetuekea exchange rate ina value kias ganNimebahatika kufika Bangkok mwezi june, japo sikwenda kwa ajili ya biashara ila nimejionea fursa nyingi.
Kwa upande wa nguo ni very cheap na ni quality, mfano viatu ni kuanzia bht 100 na tshirt na mashati ya maana kuanzia bht 100, jeans na cadet tunazouziwa huku 50 na kuendelea ni kuanzia bht 500, kama utanunua mzigo mkubwa sana utapata punguzo la bei hizo.
Kwa upande wa electronics nimekuta simu nazo ni bei nzur sana japo sijalinganisha na China, mfano note 5 nimenunua kwa bht 15000.
Maeneo ya kufanyia manunuzi nenda Platinum fashion mall(nguo za aina zote, viatu, mabegi), MBK kwa second hand na new electronics, Pantip kwa ajili ya electronics pia, Chatuchak weekend market kwa vitu mchanganyiko, hii sehemu ni sawa na masoko ya mnada yani linaanza ijumaa jioni mpaka jumapili jioni.
Kuhusu malazi na chakula ni bei ndogo sana, chumba ni kuanzia bht 750 kwa maeneo mazur ya Pratunam ambapo hapa hutahitaji usafiri wa kuzungukia maduka yote makubwa niliyotaja hapo juu.
Nimejaribu kueleza kidogo nilichokiona Thailand(Bangkok)