MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake.
Hivi hili jina lina asili ya wapi?
Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk.
Au ndio jina la kiswahili kama Kulwa na Dotto.
Nilipenda nipate asili ya jina hili tafadhali.