MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mrisho mpotho.Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake.
Hivi hili jina lina asili ya wapi?
Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk.
Au ndio jina la kiswahili kama Kulwa na Dotto.
Nilipenda nipate asili ya jina hili tafadhali.
Yote sawaJakaya Mrisho
Mpoto Mrisho
Ferooz Mrisho
Ngassa Mrisho
Au Ntashimikilo au Nyangata au nyandwi etc... inategemea na origin yakoMkuu nakushauri MPE majina ya kiafrika,kama Paramagamba,Mwaluko,Ndalichako au Ndikumana.
Una akili sana kutaka kumpa mwanao jina la asili ya kwake si haya majina tuliyoletewa na hizi dini za watu na ndiyo maana wengi wetu wamekuwa wehu kurithi laana za watu kupitia haya majina/dini.Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake.
Hivi hili jina lina asili ya wapi?
Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk.
Au ndio jina la kiswahili kama Kulwa na Dotto.
Nilipenda nipate asili ya jina hili tafadhali.
Kwani yule mrisho wa akili za kuambiwa changanya na zako ni mkristo au ni mwislamu! Asili yake pia ni BWAGAMOYONimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake.