kiye
Senior Member
- Apr 28, 2012
- 117
- 25
Jamani mimi ni mwalimu nilyepangiwa katika halmashauri fulani lakini sikuwa na transcrip hivyo sikupokelewa/sikuaajiriwa na kuambiwa ntapokelewa pale ntakapoleta hyo transcript na chuoni niliambiwa mpaka september, Je hivi inawezekana nikapokelewa transcript ikiwa tayari na kama cjapokelewa natakiwa nifanye nini? Msaada wenu tafadhari.