Msaada...msaada..msaada..naomb eni msaada

Joined
Apr 22, 2011
Posts
7
Reaction score
3
Mimi ninampenz wangu ambaye tumeishi naye karibia miaka miwili kwa sasa,tunaishhi vizuri sana pia huwa mara nyingi tunafanya mapenzi vizuri na tunaridhishiana lakini siku hizi nahisi nina tatizo kwa sababu kila nikikutana naye huwa na ejaculate mapema sana kabla ya kumridhisha,mwanzoni sikuwa hivi kabisa.Naombeni msaada ndugu zangu nifanye nini?
 
Anza kuoga vizuri na kusafisha kinywa chako vizuri zaidi.
 
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 23,ninampenz wangu ambaye tumeishi naye karibia miaka miwili kwa sasa,tunaishhi vizuri sana pia huwa mara nyingi tunafanya mapenzi vizuri na tunaridhishiana lakini siku hizi nahisi nina tatizo kwa sababu kila nikikutana naye huwa na ejaculate mapema sana kabla ya kumridhisha,mwanzoni sikuwa hivi kabisa.Naombeni msaada ndugu zangu nifanye nini?
 
soma kwanza, wew bado mdogo.
 

Wewe ni mvulana subiri mapaka uwe mwanaume.
MP.
 
Reactions: Sal

jaribu kufanya mazoezi kwa nguvu na kula vizuri
Tobaaa...unaomba msaada halafu unajisaidia mwenyewe kabla haujasaidiwa
 
hapa hatujui tunamsaidia nani, umeomba msaada, halafu hapo hapo na wewe unajipa ushauri. hebu kajipanga upya, maana utoto mwingi.
 
Tatizo hili mara nyingi ni la kisaikolojia zaidi. Kuna njia nyingi sana za kutatuta tatizo hili ila ni ngumu kuzimwaga hapa maana hili si jukwaa la kikubwa. Waone washauri wa saikolojia na mambo ya ndoa na mahusiano watakusaidia.
 
Duuuu, sijawahi ona, yani wewe una matatizo halafu unajishauri mwenyewe?
 
Tobaaa...unaomba msaada halafu unajisaidia mwenyewe kabla haujasaidiwa
Hii kali kuliko, alisahau akajishauri bila kuingia na ile id nyengine!...

Ndio mana MMU inaboa siku hizi manake watu wako busy kutunga hadithi na kuzifanya ni matatizo serious, watu wanajipinda kumwaga maushauri kumbe walaaaaaaa!,.. Bora NN hajaumiza kichwa lol.
 
saikolojia tu, kama mwanzo ulikuwa kawaida nini kimekufanya ubadilike, au uroho wa mabao mengi?
pole sana waone wataalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…