Msaada...msaada..msaada..naomb eni msaada

Msaada...msaada..msaada..naomb eni msaada

ilinitesa sana, namshukuru Mungu sasa naweza kucontrol pasipo wala kutumia dawa
 
Hii kali kuliko, alisahau akajishauri bila kuingia na ile id nyengine!...

Ndio mana MMU inaboa siku hizi manake watu wako busy kutunga hadithi na kuzifanya ni matatizo serious, watu wanajipinda kumwaga maushauri kumbe walaaaaaaa!,.. Bora NN hajaumiza kichwa lol.
Kama ni hivi basi kujiunga kuwe kuna gharama flani ziwe zinatozwa maana it doesn't mek sense kabisa, I.d mbili za kazi gani sasa, shame on them..
 
Kama ni hivi basi kujiunga kuwe kuna gharama flani ziwe zinatozwa maana it doesn't mek sense kabisa, I.d mbili za kazi gani sasa, shame on them..
Umeonae? Huo mda wa kuzitumia zote sijui unatoka wapi? Afu haileti raha kuanzisha mada na kuichangia peke yako... Ni kukosa kazi kabisa J ' B..
 
ukiona hvyo jua ni mtamu kinoma,anatoa ule maji maji mtamu kiasi hyo rungu inakimbiza mabao,hapo pga kiroba kama viwil,ugali mkubwa uone pumzi yke
 
Kaka mabagala niambie umefanyaje?Nahtaj kujua kama vp ni pm
 
Tatizo hili mara nyingi ni la kisaikolojia zaidi. Kuna njia nyingi sana za kutatuta tatizo hili ila ni ngumu kuzimwaga hapa maana hili si jukwaa la kikubwa. Waone washauri wa saikolojia na mambo ya ndoa na mahusiano watakusaidia.

Mwaga baba!!mtoto ataekuja huku kitakuwa ni kiherehere chake, watt wanatakiwa walale na wasije huku alaaaah!!!
 
Back
Top Bottom