Msaada msaada

Ahead

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
2,292
Reaction score
2,566
kuna ndugu yangu amegundulika na saratani ya tezi dume,daktari anamwambia tiba ni kutoa korodani sasa mgonjwa ana wasiwasi na tiba hii kwani hana dalili kubwa zaidi ya kupata mkojo kwa shida,je ni hakuna namna nyingine ya kutibu tezi dume isipokuwa njia hii na ni wapi nchini vipimo na tiba ni vya uhakika,naomba muda wako kidogo nipate jawabu,asante
 
Nimesikia St.Elizabeth health center, maarufu kwa father Babu,Arusha hutoa Huduma hiyo kuna specialist huja kutokea KCMC.
Jaribu kufika mahali hapo kwa maelezo zaidi!!
 
Tiba mimi ninayo mwambie akiweza anitafute nimpe dawa yangu ya asili atapona psipo na kufanya hiyo operesheni .Ukihitaji matibabu yangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…