Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
kuna ndugu yangu amegundulika na saratani ya tezi dume,daktari anamwambia tiba ni kutoa korodani sasa mgonjwa ana wasiwasi na tiba hii kwani hana dalili kubwa zaidi ya kupata mkojo kwa shida,je ni hakuna namna nyingine ya kutibu tezi dume isipokuwa njia hii na ni wapi nchini vipimo na tiba ni vya uhakika,naomba muda wako kidogo nipate jawabu,asante