Msaada: Msichana anakoroma balaa!

Msaada: Msichana anakoroma balaa!

[emoji23][emoji23][emoji23] daah pole sana itakua anachoka sana
 
Nisaidieni mwenzenu jamani nimepata manzi mzuri balaa kaumbika idara zote nilikuwa sijui kumbe ana kipaji cha kukoroma,huu mwezi nalala kwa taabu sana najikuta mkesha..Saa hizi nipo kwenye ule uzi wetu kule nakesha sina namna.
Wewe ungekua ndo unakoroma ungekuja kuomba ushauri huku......sipendagi unafki🙁🙁
Wew
 
wahenga wanasema kama mwanzo ulikuwa huoni huko kukoroma kwake, ikifika mahali ukaanza kuona huko kukoroma ni kero, basi tayari kuna tatizo kifupi humpendi huyo mwanamke!!
 
Back
Top Bottom