Ila maliza kila kitu mambo yakuulizwa "Namba yangu umepata wapi" staki kabisa[emoji23] [emoji23]ngoja tumwite@demiss
Ila maliza kila kitu mambo yakuulizwa "Namba yangu umepata wapi" staki kabisa[emoji23] [emoji23]
Ngoja nikakuandalie za kubrush viatu kabisa we kamilisha mambo[emoji41] [emoji41]hhahahha niachie!ntamaliza
Wewe ungekua ndo unakoroma ungekuja kuomba ushauri huku......sipendagi unafki🙁🙁Nisaidieni mwenzenu jamani nimepata manzi mzuri balaa kaumbika idara zote nilikuwa sijui kumbe ana kipaji cha kukoroma,huu mwezi nalala kwa taabu sana najikuta mkesha..Saa hizi nipo kwenye ule uzi wetu kule nakesha sina namna.
Ngoja nikakuandalie za kubrush viatu kabisa we kamilisha mambo[emoji41] [emoji41]