Msaada: Msichana kikojozi



Tena ukute huyo mama ni mwana JF
 
Tena ukute huyo mama ni mwana JF
Lazma ajiskie vibaya
Me zaman kidogo kulikuwa na house girl flani wa jiran yetu nilikua nakula mzigo tatizo moja alikuwa anatoa harufu kwenye zaga
Sasa kuna siku nikawa nawahadithia washkaj kuhusu huyo demu si unajua ukuaji tena
Bahati mbaya demu akajaga kusikia hizo stori aiseee alilia week nzima akanandikia barua kunilaumu
Kwnn simsitiri mambo yake binafsi. Alinambia mengi tokea siku hio nikajifunza kuchukuliana poa katika mapungufu sikuwah kuwa na tabia ya kihivyo mbaya tokea hapo
Na kumbuka alisisitiza nimweshim huyo ninayemwita mpenzi kwani ndo mtu anayeumia juu yako Baada ya wazaz wako
 
Mwana chuo, alafu ndo unaleta huu ushuzi wa kumuanika mtoto wa watu hapa? Je kama na yeye yupo hapa atajisikiaje? Kwanza unasoma kozi gani hapo chuo?
 


Amtafutie tu tiba si kuleta hayo mambo ktk mkutano wa hadhara (JF )
 
Sasa wa kusaidia Si muandike humu kuwa dawa ya kuacha kukojoa ni hii.Uchoyo Tu wa ujuzi.
 
Sina nia ya kundhalilisha hapana ila ni kuweza kumsaidia mnachukulia poa ila ni tatizo kwel yan nisaidien tiba
 

Sitaki kujadili uhalali wa wewe kukaa naye kama mke,
Lakini nizungumzie tatizo lake.
Nijuavyo mimi, wapo wengi wenye tatizo kama hilo, tena siyo wadada tu, bali hata akina kaka. Kwa mujibu wa maelezo yako, naona unataka kumwadhibu kisaikolojia. Kwakuwa umeeleza mengi mazuri aliyo nayo, tena kwa uzuri, nakuomba usichukue hatua uliyoifikia,. Hebu kaa naye umdodose ni hatua zipi amewahi zichukua. Umsaidie kupata ufumbuzi uliotukuka ili umwone bora zaidi ya umwonavyo sasa. TAFADHALI USISITE KUMWONGOZA MWAONE WATAALAMU WA AFYA.

Kwanini umwache kwa pungufu hilo moja tu kama anayo mengi mazuri kiasi ulicho eleza?
"HAKUNA ALIYEKAMILIKA"
 
Kulikuwa hakuna haja ya kusema hayo yote uliyoyaandika....
 
Ana tatizo katika mfumo wake wa fahamu. Kuna dawa ambazo akinywa zinaweza kumsaidia... Pole. Maisha ya mahusiano yanahitaji uvumilizu...
 
Ana tatizo katika mfumo wake wa fahamu. Kuna dawa ambazo akinywa zinaweza kumsaidia... Pole. Maisha ya mahusiano yanahitaji uvumilizu...
Dawa gan mkuu maana kwa maneno yke kaishaenda hospital hajapata tiba maana alisoma marry gollet uko moshi wakataka kumfukuza uko ila baada ya makubaliano na uongozi wa shule ikabid wazee wawe wanabadilisha godolo kila mwisho wa mwez
 
Ndio shida na raha hiyo. Japo mmewekana kinyumba tu.
 
Dawa gan mkuu maana kwa maneno yke kaishaenda hospital hajapata tiba maana alisoma marry gollet uko moshi wakataka kumfukuza uko ila baada ya makubaliano na uongozi wa shule ikabid wazee wawe wanabadilisha godolo kila mwisho wa mwez

Ukiendelea kutoa dot mojamoja hivi, baadaye tutamfahamu.
 

Kweli wewe ni janga la kitaifa kama sio JIPU. Wewe badala ya kumsaidi unakuja kubwabwaja huku jf! Any way kikubwa ninachoweza kukushauri ni hiki, mida ya usiku aepuke kutumia vitu vya maji maji eg maji, soda, ..................... kwa sababu vitu hivi ndivyo vinavyomfanya akojoe kitandani. Mpende kama unavyoipenda papuchi yake.
 
afu pia akipata mkojo ajaribu kuacha kwa muda mrefu ili kibofu kizoee mikimiki ya kuhifadhi mkojo(nazungumzia mchana)pia alambe asali kabla ya kulala itamsaidia
 
tumia ufuta usiokaangwa kutwa Mara tatu atapona kabisa ..Dada yangu alipona ..jaaribu ujioonee maajabu...naamini utanipendaaa.
 
mkuu ufuta unapatikana sokoniii ni sh 500 tu na atapona. kabisaaa..kuhusu ndevu za mahindi hiyo ni uongoo maana Dada angu alitumia sana wala hakuponaa
 
mkuu ufuta unapatikana sokoniii ni sh 500 tu na atapona. kabisaaa..kuhusu ndevu za mahindi hiyo ni uongoo maana Dada angu alitumia sana wala hakuponaa
Asante sana ngoja nijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…