Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kwa hio mapungufu ya mwenzako umeamua kuyaweka hadharani
Kwanini umezunguka sana na maelezo mengine useless
Kwa nini usiseme hivi
"msaada dawa ya kuzuia kukojoa kitandani "
Sio vizuri kusemana hivo
Hio ni roho mbaya ikemee
Matatizo ya mwenzako vumilia huku ukitafuta suluhisho taratibu
Tena ukute huyo mama ni mwana JF