Msaada: Msichana kikojozi

Msaada: Msichana kikojozi

Ekyoma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,177
Reaction score
2,804
Wana jamvi habari za Jumapili,

Ndugu zangu nipo na msichana yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.

Mwanzoni sikujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mimi tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja

Kwa bed yuko vizuri mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama wewe ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.

Yani ikipita siku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji siwapeleki getto siku hizi tabu tupu.

Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia hadi huruma.

Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu...
 
Naona msisitizo wako upo kwenye kiuno kama feni bovu tumekuelewa
 
Bint Wa kaka yangu alkuwa na tatzo km hlo hadi akiwa na miaka 22, akapatiwa dawa .... Sasa hv kaolew
na jamaa anajilia tu kwa raha zake.

Point yangu ni kwamba usimkimbie hlo tatzo linatbika kabisaaa, hebu niPM
 
Nilisikia ukichemsha ndevu za mahindi then unakunywa maji yake ndio dawa jaribu mkuu
 
Mbaya wewe kusema hivyo ndio nn?,mshauri aende kwenye maombi atapona tu,Mungu yupo na wanaweza yote
 
Kwa hio mapungufu ya mwenzako umeamua kuyaweka hadharani

Kwanini umezunguka sana na maelezo mengine useless

Kwa nini usiseme hivi; "Msaada dawa ya kuzuia kukojoa kitandani "..

Sio vizuri kusemana hivo
Hio ni roho mbaya ikemee
Matatizo ya mwenzako vumilia huku ukitafuta suluhisho taratibu..
 
Kwa hio mapungufu ya mwenzako umeamua kuyaweka hadharani

Kwanini umezunguka sana na maelezo mengine useless

Kwa nini usiseme hivi
"msaada dawa ya kuzuia kukojoa kitandani "
Sio vizuri kusemana hivo
Hio ni roho mbaya ikemee
Matatizo ya mwenzako vumilia huku ukitafuta suluhisho taratibu
Mkuu nimejitaid kwel kuvumilia ila nimeshindwa kojo la mtu mzima ni shida
 
Wana jamvi habari za jumapili

Ndugu zangu nipo na dem yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.

Mwanzoni ckujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mm tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja

Kwa bed yuko vizur mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama ww ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.

Yani ikipita cku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji cwapeleki getto cku izi tabu tupu

Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia adi uruma

Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu ili ata wale watakao kuja kutafuna apo badae wasikutane na balaa ili
Naijua kama uko serious nipigie tuone nnamna ya kumsaidia .atapona baada ya muda mfupi
 
Bint Wa kaka yangu alkuwa na tatzo km hlo hadi akiwa na miaka 22, akapatiwa dawa .... Sasa hv kaolew
na jamaa anajilia tu kwa raha zake.

Point yangu ni kwamba usimkimbie hlo tatzo linatbika kabisaaa, hebu niPM
si uweke hapa hapa tu nasie wengine tukikutana na vikojozi tuwatibie.
 
Wana jamvi habari za jumapili

Ndugu zangu nipo na dem yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.

Mwanzoni ckujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mm tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja

Kwa bed yuko vizur mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama ww ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.

Yani ikipita cku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji cwapeleki getto cku izi tabu tupu

Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia adi uruma

Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu ili ata wale watakao kuja kutafuna apo badae wasikutane na balaa ili
Naijua kama uko serious nipigie tuone nnamna ya kumsaidia .atapona baada ya muda mfupi.0717 707565
Naijua kama uko serious nipigie tuone nnamna ya kumsaidia .atapona baada ya muda mfupi
 
VIPI KAMA AKISOMA ULICHOKIANDIKA HUKU ATAJISIKIAJE? SIO VIZURI
MTAFUTIE DAWA BILA KUMVUA NGUO KIASI HICHO
 
"Mapenzi ya kitoto ya kitotoo, mie siweezi.." Hivi umeshindwa kwenda nae hospitali hata za kina doktari mwaka kutafuta suluhisho, wewe ulivo kuwa mtoto bado, unasambaza aibu za mwandani wako. Shame on you, hujakua bado... Hujafa hujaumbika...
 
Wewe siyo REAL GENTLEMEN. Just know that. Mwanamke anatakiwa kuenziwa. Hizo ni kasoro za ndani msaidie tatizo liishe we unataka kumkimbia. Kesho ukimuona kwenye RANGE ROVER unaanza kuleta shobo. BLOOD BASKET!!!!!
 
Back
Top Bottom