Msaada: Msichana kikojozi

Msaada: Msichana kikojozi

Wana jamvi habari za Jumapili,

Ndugu zangu nipo na msichana yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.

Mwanzoni sikujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mimi tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja

Kwa bed yuko vizuri mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama wewe ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.

Yani ikipita siku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji siwapeleki getto siku hizi tabu tupu.

Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia hadi huruma.

Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu ili ata wale watakao kuja kutafuna apo badae wasikutane na balaa ili.

Dawa ya Kikojozi ninayo ukitaka nimtibu huyo mpenzi wako..

Kwa mawasiliano;
MziziMkavu
Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
What's App +90 534 450 8169
 
Maombi sala na ibada
Lkn mkuu hapo kwenye maombi na ibada haitegemei aliekufundisha kama alikupa mafunzo ya Kimungu au ya upande wa pili?
Mpiga ramli na mchawi anaposema "tumuombe Mungu" anamaanisha kweli Mungu au mungu!!
 
Lkn mkuu hapo kwenye maombi na ibada haitegemei aliekufundisha kama alikupa mafunzo ya Kimungu au ya upande wa pili?
Mpiga ramli na mchawi anaposema "tumuombe Mungu" anamaanisha kweli Mungu au mungu!!
Ni kujikosha na kukudanganya kama angekuwa anaamini katika Mungu angekushauri hivyo in the first place
 
Bint Wa kaka yangu alkuwa na tatzo km hlo hadi akiwa na miaka 22, akapatiwa dawa .... Sasa hv kaolew
na jamaa anajilia tu kwa raha zake.

Point yangu ni kwamba usimkimbie hlo tatzo linatbika kabisaaa, hebu niPM

Ebu saidia watu haya mambo ya PM tena kwenye magonjwa?
Acheni uchoyo wa tiba!
 
Wana jamvi habari za Jumapili,

Ndugu zangu nipo na msichana yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.

Mwanzoni sikujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mimi tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja

Kwa bed yuko vizuri mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama wewe ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.

Yani ikipita siku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji siwapeleki getto siku hizi tabu tupu.

Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia hadi huruma.

Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu...
Kweli wewe ni janga, haiwezekani badala ya kutatua tatizo unakimbia? Hovyo kabisa, ila haya ndio matokeo ya akili za kivulana. Bwana mdogo nikushauri usimwache Huyo mwanamke na pili hiyo hali aliyo nayo iwe siri yenu nyie wawili.
Kukojia hakuna ukubwa wala udogo.
Huo ni ugonjwa kama ilivyo malaria, kipindupindu, kisonono, kaswende n.k.
 
ahaaa mpo chuo mtwara nin mbona huyo binti namjua toka primaly anakojoa na wa2 tulipiga kaz sana huyo mtoto pole ukisusa wenzio tunakula
 
Mambo ya ndani huwezi kuanika hapa akikojoa na wewe kojoa au kunya ngoma sawa
 
Mtafutie pampas za wakubwa mbona hyo simpo ukishindwa mpe referal kwangu am capable to fix ze situation
 
Wewe siyo REAL GENTLEMEN. Just know that. Mwanamke anatakiwa kuenziwa. Hizo ni kasoro za ndani msaidie tatizo liishe we unataka kumkimbia. Kesho ukimuona kwenye RANGE ROVER unaanza kuleta shobo. BLOOD BASKET!!!!!
Ndio maana yuko hapa kumsaidia hajamkimbia, hebu tuendelee kusubiria dawa hapahapa jukwaani
 
Aache kunywa maji, vyoda, juice etc kuanzia 12 jioni kisha ategeshe alarm au umuamshe 6 au 7 usiku akakojoe na kabla ya kulala akakojoe pia.
 
wewe ndio unayetakiwa kumsaidia.weka ratiba kamili ukishajua muda gani huwa anakojoa kitandani.basi jitahidi kuamka ili aende kujisaidia.mwamshe hata mara tatu usiku mpaka atazoea
 
Back
Top Bottom