Msaada: Mtaalam maswala ya kodi (tax)

Msaada: Mtaalam maswala ya kodi (tax)

Joined
May 26, 2013
Posts
67
Reaction score
14
Samahani,

Ukiachana na hii rate ya saivi ambayo ni 30% iliyowekwa mwaka Jan kutoka 25%. Ningependa kujua kama kuna mtu anajua ni rate ipi ilitumika kulipia import duties kwa metal kuanzia miaka ya 2009 kurudi nyuma mpaka miaka ya 2005 au kama kuna document inaweza ikanipa majibu kuhusu hili.

Please msaada wenu.
 
Back
Top Bottom