Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Mtaani ninakoishi kuna kituo kina pitapita ya watu wengi wa Aina tofauti tofautiUmejiandaa kwa ajili ya soko lipi?
Wale hawawezi nipo full information jombaa si unajua bongo apaUpo mkoa gani?
Kama Ni Daslam wengi wanafanya hii biashara ya kuku wa kizungu....ukitembelea maeneo utapata taarifa zote.
Unakaanga auMie ninauza kuku miaka mingi. Hiyo biashara unatakiwa kujituma haswa. Wale jamaa saa kumi usiku wako nje ya geti wanafuata kuku. Sijui wanalala saa ngapi?
Mahitaji boss nini na niniAnza ...kikubwa ujue kuwakaanga vye ma na kutia spicy sauce za kunukia ..ili hata mtu akiwa hana mpango wa kununua ajikute ananunua kilazima...pia izingatia usafi na bei isiwe kubwa sana...mwanzoni unaweza.ukaanza Kwa kuifanya kama unawagawa Bure (rudisha pesa ya mtaji na gharama za kuandaa tu, faida usiiweke sana kipaumbele) ukishakamata soko lako unaanza kupandisha mdogo mdogo mpaka kuanza kupata real profit
Wale hawawezi nipo full information jombaa si unajua bongo apa
Umenikumbusha kuna siku nlipita njiani mama mmoja anakaanga kuku, wala sikujali nikapita....jinsi navozidi kwenda mbali nilisikia wananukia yani utadhani harufu inanifata, asee nilirudi kununuaAnza ...kikubwa ujue kuwakaanga vye ma na kutia spicy sauce za kunukia ..ili hata mtu akiwa hana mpango wa kununua ajikute ananunua kilazima...pia izingatia usafi na bei isiwe kubwa sana...mwanzoni unaweza.ukaanza Kwa kuifanya kama unawagawa Bure (rudisha pesa ya mtaji na gharama za kuandaa tu, faida usiiweke sana kipaumbele) ukishakamata soko lako unaanza kupandisha mdogo mdogo mpaka kuanza kupata real profit
Ukipata karibu na maeneo ya stendi itakuwa vizuri zaidi.Nimepitia katika makundi ya wafugaji wa kuku naona wana kuku wengi sana wanatangaza kuuza.
Sasa najua JF ni jukwaa pana sana, wapo watu wanajua kuanzia mtaji, mahitaji, faida na hasara za biashara hii.
Nisaidiwe kijana mwenzenu, ajira ni ngumu tunakosa kila mwaka, kwahiyo ngoja tupambane upande wa pili.
Asanteni.
Nadhani unawajua wachoma mishkaki ile ya 100. Sasa kawachunguze vizuri alafu tafuta vifaa....Nimepitia katika makundi ya wafugaji wa kuku naona wana kuku wengi sana wanatangaza kuuza.
Sasa najua JF ni jukwaa pana sana, wapo watu wanajua kuanzia mtaji, mahitaji, faida na hasara za biashara hii.
Nisaidiwe kijana mwenzenu, ajira ni ngumu tunakosa kila mwaka, kwahiyo ngoja tupambane upande wa pili.
Asanteni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha kuna siku nlipita njiani mama mmoja anakaanga kuku, wala sikujali nikapita....jinsi navozidi kwenda mbali nilisikia wananukia yani utadhani harufu inanifata, asee nilirudi kununua
Ninauza kuku wazima. Nina shamba la kuku (Chicken Farm) nauza kuku hai na mayaiUnakaanga au
HahahaNyie ndio mnatulisha Kuku waliokufa Bandani..