Msaada: Mtaji kiasi gani unahitajika biashara ya kukaanga nyama ya kuku?

Msaada: Mtaji kiasi gani unahitajika biashara ya kukaanga nyama ya kuku?

Na hivi mafuta yapo juu doh, faida utaipata kwenye firigisi,vichwa,miguu na shingo

Ukiweza ongeza ndizi plus uwe msafi na mcheshi
Uwakaushe vzr
 
Back
Top Bottom