Msaada,mtaji wa mil.3 kwa mwanza nifanye biashara ipi


Mkuu kama una eneo zuri na unaipenda project unganisha na wadau nguvu kazi ifanyike!!!
Ni bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa
 
Anzisha stationary nyamalango italipa maana milion 1.5 utapata photocopy 1milioni chumba na laki tatu desktop laki mbili rim wino na extension cable..... all the best.

Thinkpad,

what about business licence, pango, set up costs, kuweka LUKU yake mwenyewe n.k ?
 
Bei za Balton ziko wazi kwa greenhouse za size 2; yaani 8m X 15m (6M) na 8m X 24m (7.7M)

 
Eneo ni zuri na project naipenda kwa vile ndo kimbilio langu la kupambana na umasikini, tatizo ni hiyo bei ya kuchimba hicho kisima. Wadau gani hao mkuu popular? kama unawafahamu washikaji wakuchimba niunganishe nao.
 
Aisee Kubota na Chasha ni noma! yaani mimi nanyonya mavitu yenu mwanzo mwisho!! Mnatuelimisha sana aisee, big up! Na wachangiaji wengine tunashukuru kwa kunogesha jukwaa la ujasiriamali
 
Asante sana Kubota kwa maelezo ya green house mwanzo wala sikuvutiwa na hii kitu ila kwa maelezo haya nimeelewa faida zake, kama inaweza kuzuia magonjwa basi ni mkombozi kwa mbogamboga na matunda kama nyanya na hoho. Binafsi napenda bustani niliwahi kutoka na roses (waridi) Iringa zikiwa nzuri nikasema kwanini Dar hazioti zilianza vizuri sana ila baada ya muda majani yakafa na ukungu na ikawa mwanzo wa magonjwa hadi zikawa hazipendezi kabisa zikafa, nimejaribu kuotesha nyanya hapa home pia zinapata ukungu najua kuna dawa ila sipendelei madawa mengi kwenye mbogamboga nadhani kwa green house itapunguza kama sio kuzuia uharibifu wa mimea hii. Pia kwa sie wa mjini nafasi ndogo huu ni ukombozi hasa. Labda haya maelezo mods watusaidie kuyanunga na ile thread nyingine ili ziwafae wengi. Kuna magazine nili subscribe online "Motherearth news" nayo imeelezea jinsi ya kutengeneza simple GH. Ngoja ni download hizi material nizipitie zaidi. asanteni
 
Naomba pia kufahamu hiyo green house inakuwa na mlango?

Je hewa inatoka wapi kama utafunga hiko kibanda kote kote

Hapo sasa niliposoma ile ya Mother earth news niliona wametaja inakuwa na fan kuwezesha hewa kuzunguka ina maana itahitaji umeme au?
 
fungua mult level marketing distribution company. unauhakika wa 2mil au zaidi baada ya miezi 4 na kila mwezi.
its risk free
haina haja ya kuwa na ofisi
huna haja ya kulipa property tax
huna haja ya system
huna haja ya kudesign product
unaweza expand kampuni yako mpaka nje ya nchi bila hata leseni
call me nikueleweshe zaidi.
0713297066
 
-mult level marketing
-fungua kampuni ndani ya kampuni.
-anza kutengeneza mil 2 kwa mwezi baada ya miezi 4
-haitaji ofisi,kulipia kodi,kulipia pango,wala bidhaa au service
-haina haja ya kudesign system.its already there.
-haina risk ya aina yoyote ile.
-maelezo zaidi 071329706
 

Huko kisarawe mashamba yanauzwaje? Huenda kukawa na fursa ya kuweka green houses huko.
 
Samaani ivi ulizipataje pesa hizo umelala zikaja au?
 
Bei za drip lines zikoje kwa sasa? anae fahamu atujuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…