Msaada:Mtanzania asomae jiangsu, China

Msaada:Mtanzania asomae jiangsu, China

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,897
Habari ya leo wana Jf.
Naomba msaada kwa yeyote anaesoma/ anaemfahamu mtanzania anaesoma katika mji wa SUZHOU,Uliopo jimbo la Jiangsu, china anisaidie kuniunganisha nae kwa kuni-pm au kunitumia email kupitia abuufirdaus@yahoo.com
Natanguliza shukran
 
你在江苏吗?那个城市?
 
mmhh hata kama ningekuwa namfaham huyo mtu siwezi kukupa mawasiliano yake… yaani mtu unajiita firdaus…
 
mmhh hata kama ningekuwa namfaham huyo mtu siwezi kukupa mawasiliano yake… yaani mtu unajiita firdaus…

Ulitaka nijiiteje ?kama haikuhusu potezea tu mkuu wala haitakugharimu kitu
 
Mbona nyie watoto wa division 5 mnapenda kuunganishwa unganishwa? nenda kapambane mwenyewe utaweza tu acha woga. we vipi?

Tafadhali mkuu, kwa heshima na taadhima naomba usiiharibu hii thread ,tunachokifanya hapa ni sensitive issue kumsaidia mtanzania mwenzetu....usichafue hali ya hewa hapa tafadhali.kama haikuhusu pita kimya tafadhali it wont cost u anything...
 
bu shi,...Just ma friend

Okay,

Ila Shanghai(hii ni manspaa ndani ya Jiangsu) kuna wabongo kadhaa pale Jiao Tong University...NanJing pia wapo

Hopefully atapata tu fursa ya kuonana nao...别着急朋友!
 
Mitanzania mioga sana ikiwa inaenda huko nje yaani kila kitu mpaka iunganishwe na mtu aliyeko huko.ujinga mtupu
 
Nan Jing University yupo Bhoke anajifunza kichina, Nan Jing Artillery Academy wapo maafisa wanne wa tz na Shanghai University karibu na mnara mkuu wa posta una wawili. Nitaku PM e-mail zao punde ngoja nimalizie. Kutoka Nan Jing kwenda Shanghai ni saa mbili kwa basi lkn sijajua km ile treni ya ardhini imeshaisha.
 
Mkuu hakuna haja ya kupanda basi...halafu accessibility ya vituo vya mabasi kwa miji ya China huwa vipo mbali kidogo na mjini...

Nanjing to Shanghai kuna 沪宁城际高速铁路 ile fast treni kama D 号车(D hao che) au G 七号车 (G qi hao che) au maarufu kama bullet train...hii huchukua muda mfupi tu na inatokea vituo vyote pale Nanjing na Shanghai

真的吗?。。。。。。。。。。。。
 
Back
Top Bottom